- Tufani inapovuma,
Sana moyoni mwangu,
Huona pa kujificha,
Mkononi mwa Mungu,
Chorus,
Hunificha, hunificha,
Adui hatanipata,
Hunificha, hunificha,
Mkononi mwake.
- Pengine kuna taabu,
Yanisongeza kwake,
Najua si hasira,
Ni ya mapenzi yake.
- Adui wakiniudhi,
Nami nikisumbuka,
Mungu atavigeuza,
Vyote viwe baraka.
- Niishipo duniani,
Ni tufani daima,
Anilindapo rohoni,
Nitakaa salama.
Tujadiliane na kuelekezana njia sahihi ya kuurithi ufalme wa Mbinguni na uzima wa milele katika Yesu Kristo Bwana wetu.
Pages
Nataka Kuokoka Sasa Hivi!
Ndugu yangu, hakuna kilicho bora sana duniani na baada ya maisha haya zaidi ya roho yako? Je, unafahamu baada ya maisha ya hapa duniani kuna maisha mengine ambayo wewe una maamuzi ya asilimia mia kuchagua?
Fahamu kuwa kuna Mbingu na Jehanamu. Mshahara wa dhambi daima ni mauti, na mshahara wa mema ni uzima wa milele. Chagua uzima ukaishi milele kwakuwa maisha ya hapa duniani ni ya kitambo kifupi sana nayo yamejaa masumbuko na taabu nyingi sana kila inapoitwa leo.
Yesu anakupenda sana, inawezekana kuna mtu anakupenda sana ila Yesu anakupenda zaidi ya wote duniani hivyo nakushauri ukate shauri umfuate yeye maana atakupa kustarehe milele na kuurithi ufalme wa mbinguni pamoja naye.

Friday, February 3, 2012
Tufani Inapovuma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Tenzi hii hunibariki sana, hasa siku za mateso ya ulimwengu huu.
ReplyDeleteGod bless you! I really like this song because it encourages me to move on and on; assured the Holly Spirit, Lord Jesus and our Father in Heaven never forsake me during troubles! Amen
ReplyDeleteHakika Tenzi hii hunikumbusha Rehema na Ukuu wa Mungu katika Maisha Yetu.
ReplyDelete