Njia atwonya tuijue
Imo chuoni; na mwenyewe,
Hapo asema, njoo!
Na furaha tutaiona,2. ”Wana na waje, ”atwambia.
Mioyo ikitakata sana,
Kwako mwokozi kuonana,
Na milele kukaa.
Furahini mkisikia;
Ndiye mfalme wetu pia,
Na tumtii, njoo.
Na furaha tutaiona,3. Wangojeani? Leo yupo;
Mioyo ikitakata sana,
Kwako mwokozi kuonana,
Na milele kukaa.
Sikiza sana asemapo;
Huruma zake zikwatapo,
Ewe kijana, njoo.
Na furaha tutaiona,
Mioyo ikitakata sana,
Kwako mwokozi kuonana,
Na milele kukaa.
No comments:
Post a Comment